Wednesday, 9 October 2013

Form 3B washinda mbuzi

Hao ni baadhi ya wanafunzi wa form 3B wakifurahia baada ya kushinda mbuzi katika mashindano hayo ya kimadarasa.

Form 3B.

Huyo ndo mbuzi walioshinda form three B.