LIke Blog hii hapa

Saturday, 22 November 2014

Kanisa la Kashai lateketea kwa moto

Moto mkubwa umeunguza Kanisa la Roman Catholic lililopo Kashai.Ilikuwa asubuhi mida ya saa 5.Chanzo cha moto huo inasemekana ni wafanya usafi wa kanisa hilo waliochoma nyasi mahali hapo na moto ukasogea hadi kanisani.Moto huo umeteketeza mali zote kanisani humo.Wananchi mbalimbali walijitahidi kuzima moto huo bila mafanikio yeyote hadi gari la kuzima moto lilipofika maeneo hayo na kuzima moto ambao ulikuwa umeishaharibu vitu vingi.@Cheated Epk.