LIke Blog hii hapa

Saturday 22 November 2014

Kanisa la Kashai lateketea kwa moto

Moto mkubwa umeunguza Kanisa la Roman Catholic lililopo Kashai.Ilikuwa asubuhi mida ya saa 5.Chanzo cha moto huo inasemekana ni wafanya usafi wa kanisa hilo waliochoma nyasi mahali hapo na moto ukasogea hadi kanisani.Moto huo umeteketeza mali zote kanisani humo.Wananchi mbalimbali walijitahidi kuzima moto huo bila mafanikio yeyote hadi gari la kuzima moto lilipofika maeneo hayo na kuzima moto ambao ulikuwa umeishaharibu vitu vingi.@Cheated Epk.

Wednesday 4 June 2014

mashairi: my baby by Quick racka ft Ngwair

mashairi: my baby by Quick racka ft Ngwair: Intro; Yeah man its yo boy Switcher lemmi talk to this girl 1 time,Listen. Verse 1; First time tumekutana ilikuwa kitaa, Nikiakuit...