LIke Blog hii hapa

Monday, 12 August 2013

Mrs superstar young killer lylics

* Original message *
From:
philberterick@gmail.com
Sent:
11:33:48
12-08-2013
To:
cheatedepk@gmail.com
Subject:
FW: Mrs superstar youg killer lylics

(Verse1:Young Killer)
Kila mwanadamu anaupendo
kwa yule ampendaye
Mwingine anawaza vipi atampata
yule amtakaye
Sio kwamba nact no nipo real
Japo msodoki ni mdogo ila
nauwezo wa kufeel
Fikra zangu zinatuma
Nidate kwa maunda zorro
Najua nitaleta jealous kwa
brother banana zoro
Sasa vipi nikiwa penny hivi
ntakuwa free
Au kama nngekuwa na mwasiti
wa THT
Ila penny nahisi diamond
atanisumbua
Hata mwasiti pendo langu
atalivua
Kwanza long time ago
Nilishazmikaga na wema
Na scandal za magazeti moyo
wangu ukamtema
Nikawachukia mapaparazi
nikahisi wameharibu bahati
Moyo wangu nikauweka bond
kwa chiku mwanaharakati
Ila wote tunachana hatutadumu
maghetoni
Nilipozimika na besta marlaw
akapiga honi
Madam ritha na salama
wakaogopa mcharuko wa bss
Nmemov mpaka da wolper
nimchane face to face
Ila roho inakataa inaogopa
waigizaji
Macho yalishatua kwa flora
hbaba akamhitaji
(Chorus:Ne-mo&Bright)
Wapo wengi natamani kuwa
Nao in my life
Muda mwingi natumia kuwaza
nani atanifaa
Mrs superstar nani nimwite love
Mrs superstar nani nimwite love
(Verse:Young Killer)
Hizi hisia zangu sidhani kama
nakufulu
Sidhani kama nakufuru
Akili inanituma niende
sambamba na lulu
Ila naogopa yasinitokee ya
kanumba
Nikasukumwa nikafa wengine
wakang'oa mchumba
Ama Ray c nikimchek machoni
haishi
Kile kiuno bila mfupa
kingenipikia mapishi
Ila ghafla nikaogopa niliposikia
ana mchizi
Baada ya kuuliza ni nani kumbe
mnako lod easy
Navyokupa utanipa upendo wa
kina
Au tutaachana njia panda kama
amini lina
Kwa love sitaki kukosea niwe na
mrembo mwenye visa
Niwe na thea au nimwache
nidate kwa Monalisa
Nikadata na diva
Ila sauti ni soo ye ni mgonjwa
Kwa raha zangu atanifia itakua
soo
Sura pesa aunt ezekiel young
sina hela
Vanesa mdee najua huwezi ishi
kisela
Mara Jokate kichwani
akanitawala mpaka basi
nkajua hata nikisema basi
hatanipa nafasi
Namuomba mungu anipe gift
special
Kama isingekua kizunguzungu
basi
Ningekua na recho
(Chorus:Ne-mo&Bright)
Wapo wengi natamani kuwa
Nao in my life
Muda mwingi natumia kuwaza
nani atanifaa
Mrs superstar nani nimwite love
Mrs superstar nani nimwite love
(Verse3:Young Killer)
Usiku silali usingizi autokei
Namuwaza Johari
Ila ule ukaribu na Ray
Unanipa wasiwasi na mimi sitaki
nijute
Basi nikaamia kwa Dayna baada
ya kusema nimvute
Shilole naogopa kumwambia
yanayonisibu
Kwa khadija nikakope kopa nije
kumpa taratibu
Nahisi atanihadhibu pedeshee
wa yafitina
Maana atahitaji matunzo cha
ajabu mimi uwezo sina
Nampenda Uwoya mtoto wake
ataniitaje
Kaka au baba ndikumana
atanionaje
Hizi hisia zangu wala siitaji
maswal
Me napenda kuitwa babu
Bi.Cheka atakubali
(Chorus:Ne-mo&Bright)
Wapo wengi natamani kuwa
Nao in my life
Muda mwingi natumia kuwaza
nani atanifaa
Mrs superstar nani nimwite love
Mrs superstar nani nimwite love

1 comment: